Weekend

Mimi kuigiza nilishashindwa sababu kuishi kwenye uongo kuna gharama sana. Karibu Masaki

ningekuja.. hela niliyonayo leo ni buku 15.. tu.. nikisema niweke mafuta na bei za masaki.. nitakunywa moja tu.. niko zangu mtaani tu.. glocery ya kitaa hapa napata safari ndogo za kutosha na mishikaki ya kulalia... hadi remote ya glocery nimewekewa mimi.. kujifariji na nyimbo za dizzim na wasafi tv

uliopo nao waambie waje waniungishe dry cleaner ile
 

Attachments

  • IMG_20180609_224429.jpg
    101.5 KB · Views: 37
ningekuja.. hela niliyonayo leo ni buku 15.. tu.. nikisema niweke mafuta na bei za masaki.. nitakunywa moja tu.. niko zangu mtaani tu.. glocery ya kitaa hapa napata safari ndogo za kutosha na mishikaki ya kulalia...
Hiyo hela yakp hata entrance haitoshi hapa [emoji23][emoji23]
 
Nimezishindwa chief. Napenda vitu vyenye kuleta matumbo. Kidogooo tumbo imepungua ila kunenepa sasa ni balaa
Hivi kwa wewe,unaweza kuwa kwenye relationship na jamaa ambaye hatumii kabisa alcohol??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…