KansasNdiyo wapi huko?
MmmmhhhhIssa Weekend.
mkuu utaniuaIssa Weekend.
Unajua nini Mzigua, uchaguzi wa Avatar hata kama sio picha yako unatoa ujumbe kwamba taswira iliyopo hapo inaendana kwa kiasi flani na alieichagua, kimawazo, kimatendo, kihisia nk.....kwa hiyo kinachopendwa hapo ni uchaguzi wako iwe ni wewe huyo au ya mtu mwingine, wengine wanaweka avatar zenye pics za celebrities au vitu tu lakini na zina akisi mapenzi yaoMtu anaona avatar mpaka anajua ni wewe kabisa. Kama wanaoamini hiyo avatar ni mimi.
kuna uzi niliandika maalum kwako mods wakaona nongwa maana nilikusifia siyo kawaida, nadhani ni sifa ambazo hujawahi kupewa popote. lkn haina noma my beibeUzi gani tena boo uloniandikia?
naogopa kupigwa bann na mods wamezidi kwa wivu,, chamsingi tu mapenzi yangu kwako hayana kipimo ninazawadi zako kutoka visiwa vya ushelisheliJamani sikufanikiwa kuuona. Nisifie tu hapa hapa mpenzi.
Mtu anaona avatar mpaka anajua ni wewe kabisa. Kama wanaoamini hiyo avatar ni mimi.
Haya weeee,hongera kwa chura yenye viwango vya kimataifaKweli tena tunafanana fulani ila sio mimi kabisa
Hahahaaa.. hadi wewe kweli una imani hiyo kipenzi? Halafu hicho kinywaji chako hichoMimi naamini huyo wa kwenye avatar kafanana na wewe.
Zingatia neno ‘naamini’. Ni imani tu.
Ngoja nifungue 7UP yangu ya kopo hapa! Naipenda sana hii soda. Siwezi pitisha siku sijainywa.
naomba ufute hilo neno 'kipenzi' tafadhali tumia neno 'mkuu'Hahahaaa.. hadi wewe kweli una imani hiyo kipenzi? Halafu hicho kinywaji chako hicho
Mkuu mbona umeogopa hivo!? Utamsononesha ujuenaomba ufute hilo neno 'kipenzi' tafadhali tumia neno 'mkuu'