Weekend

Weekend

kuna uzi niliandika maalum kwako mods wakaona nongwa maana nilikusifia siyo kawaida, nadhani ni sifa ambazo hujawahi kupewa popote. lkn haina noma my beibe
😀😀atakuwa mod wa kike huyo si ajabu hajawahi sifiwa hivyo na jamaa zake wote waliopita na mpaka wa sasa
 
😀😀atakuwa mod wa kike huyo si ajabu hajawahi sifiwa hivyo na jamaa zake wote waliopita na mpaka wa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua maana hakukua na sababu ya kufuta uzi wangu nliotunukiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua maana hakukua na sababu ya kufuta uzi wangu nliotunukiwa
si ndio hapo...
mi mwenyewe kanikera maana nilitegemea niusome nipatage maneno ya kutupiamo kwa mabinti
 
Issa Weekend.
bdcde1129e7d99b1569dfe5107111cb2.jpg
kwa sisi professional wa mambo haya chura hapo yupo 100%[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Alafu huyo dp ni wewe usituzuge hapa
 
Back
Top Bottom