Weekend

Weekend

Issa Weekend.
bdcde1129e7d99b1569dfe5107111cb2.jpg
Mmmmhhhh
 
Mtu anaona avatar mpaka anajua ni wewe kabisa. Kama wanaoamini hiyo avatar ni mimi.
Unajua nini Mzigua, uchaguzi wa Avatar hata kama sio picha yako unatoa ujumbe kwamba taswira iliyopo hapo inaendana kwa kiasi flani na alieichagua, kimawazo, kimatendo, kihisia nk.....kwa hiyo kinachopendwa hapo ni uchaguzi wako iwe ni wewe huyo au ya mtu mwingine, wengine wanaweka avatar zenye pics za celebrities au vitu tu lakini na zina akisi mapenzi yao
 
kuna uzi niliandika maalum kwako mods wakaona nongwa maana nilikusifia siyo kawaida, nadhani ni sifa ambazo hujawahi kupewa popote. lkn haina noma my beibe
Jamani sikufanikiwa kuuona. Nisifie tu hapa hapa mpenzi.
 
Mimi naamini huyo wa kwenye avatar kafanana na wewe.

Zingatia neno ‘naamini’. Ni imani tu.

Ngoja nifungue 7UP yangu ya kopo hapa! Naipenda sana hii soda. Siwezi pitisha siku sijainywa.
Hahahaaa.. hadi wewe kweli una imani hiyo kipenzi? Halafu hicho kinywaji chako hicho
 
Back
Top Bottom