Weekend

kuna uzi niliandika maalum kwako mods wakaona nongwa maana nilikusifia siyo kawaida, nadhani ni sifa ambazo hujawahi kupewa popote. lkn haina noma my beibe
😀😀atakuwa mod wa kike huyo si ajabu hajawahi sifiwa hivyo na jamaa zake wote waliopita na mpaka wa sasa
 
😀😀atakuwa mod wa kike huyo si ajabu hajawahi sifiwa hivyo na jamaa zake wote waliopita na mpaka wa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua maana hakukua na sababu ya kufuta uzi wangu nliotunukiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua maana hakukua na sababu ya kufuta uzi wangu nliotunukiwa
si ndio hapo...
mi mwenyewe kanikera maana nilitegemea niusome nipatage maneno ya kutupiamo kwa mabinti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…