Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Ni wewe bwana, na nimeisave picha yako mpaka ntakapotuwa Tz nije nikukaribishe tuvunje chupa.Kwenye dp sio mimi bwana.
njoo pm nikupe utaratibu my booo, niko hapa nakusubiriBeb ile kesho imefika halafu
Hahaha, mi sinaga habari ya chura, kwani tunaenda majini???Haya jidanganye siku unione hamna chura wala tadpole utaelewa
karibu sana sukari wanguOkay boo nakuja
ukifika nijulisheNishakaribia.
chagua zawadi utakazo maana zote hizi uzionanzo ni maalum kwako, mimi na wewe ni pete na kidoleNishafika na seat nimejipatia.
chukua hii kibox utakachokuta ni zawadi yako maalum kwa siku ya leo,Yoyote tu uliyoaniandalia bby nitashukuru.
Mtoto una rangi nayopenda[emoji23]Issa Weekend.
unajua thamani ya hyo rangi?? shauri yakoMtoto una rangi nayopenda[emoji23]
Mimi kama katibu mwenezi wa chaputa napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwani vijana ufanisi wao umeongezeka mara dufu..wadada wengine tunawaomba kila weekend mfanye kama alivofanya huyu dada,ili mturahisishie kaziIssa Weekend.