Weekend

Kama unayajua hayo uache kujazwa upepo na watu wanaojisikia kuchukia watu kisa hawajiamini sawa eeeh.
Nilikua nakushangaa tu unavyojazwa na wewe unajazika. Anyways hatujawahi kuwa na shida tusonge mbele
 
Jaaaman,hahaha mi nikichambwa ndo nacheka zaidi[emoji23] ngoja niirudishe maana doh
Mi nikikereka halafu namdharau mtu basi nacheeeka namuonea huruma sijui.
Kama saa hizi Shunie ananichamba nashindwa hata kucheka maana ananichamba afu nashindwa kumdharau maana ananichamba vya ukweli
 
Kama unayajua hayo uache kujazwa upepo na watu wanaojisikia kuchukia watu kisa hawajiamini sawa eeeh.
Nilikua nakushangaa tu unavyojazwa na wewe unajazika. Anyways hatujawahi kuwa na shida tusonge mbele
Hapana am kind of Man ,ambaye sitendi ,sioni ,siongei ,sisiki eti sababu kuna mtu kasema niseme au nifanye !! Ningekua waaina hiyo nahisi nisingekua ivi nilivo , kwaufupi mimi sio bendera Mdada. ,nikisema ujue nmesema mwenyewe ili niwe muhusika wanilichosema sio unaulizwa ,wee ulisema unaanza kuruka ruka ooohhhh namm niliambiwa.

Alafu ivi kumbe ulichukua serious ,nilivyokuambia mdogo wako niyule mlozaliwa naye tumbo moja mama na baba mmoja ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wa Dar mna mioyo ya kuku sana.

nilimaanisha ivi , najua baadae naweza kukuuliza Mzigua unapendelea Chupi na sidiria za rangi gani ? [emoji23][emoji23] kwamantinki yakwamba kama zawadi tu ,sasa kuniita mdogo wako ni kujaribu kunipa mazingira ya kutokuuliza kitu km iko..
 
Mi nikikereka halafu namdharau mtu basi nacheeeka namuonea huruma sijui.
Kama saa hizi Shunie ananichamba nashindwa hata kucheka maana ananichamba afu nashindwa kumdharau maana ananichamba vya ukweli
Kuna kucheka kwa dharau pia,kuna kucheka vya huruma,kuna kucheka ya kukosa cha kusema[emoji23] vicheko ni vya aina nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…