DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hizo sifa anazokupa zitafanya aache kilio nyumban kwao.Chura hayuko ndo shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sifa anazokupa zitafanya aache kilio nyumban kwao.Chura hayuko ndo shida.
Hahahaha mi mtu nisiejulikana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umewahi kutekwa ?
Angalia zisiende kuleta shda pale chiniYa 4 bae
Kama unayajua hayo uache kujazwa upepo na watu wanaojisikia kuchukia watu kisa hawajiamini sawa eeeh.Yes so take easy ,this is life its filled with ups and down , ukienda pale kuna makelele ,kule kuna umbeya ,hapa kuna vicheko pemben kuna vilio,mbele kidogo kuna mwanamme kafumwa ,kwajiran kuna ngoma za segele ..so nikuyachukua kama Yanavyokuja...
Ukinuna ,utakua na maisha mafupi ,,na kwa mwanamke km weee mie huwa nawambia mna "Mioyo ya malaika" , mkinuna hata hainogi ,unajua kwasababu gan??
Hahaaa kwa nini mkuu?Heri uishie hapo hapo.
yajayo yanafurahisha
Praise at your own risk. But be warned.Hahahaha mi mtu nisiejulikana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vilivyofichwa ni kwa matumizi ya ofisi tu.Hahaaa kwa nini mkuu?
Mambo mazur hayatak haraka mpenzWe mwenyewe huji home kujitambulisha halafu unataka kunikosesha bahati
Jaaaman,hahaha mi nikichambwa ndo nacheka zaidi[emoji23] ngoja niirudishe maana dohSaa nyingine nimemdharau mtu huwa ancheka ndo maana naongeza kucheka cheka kama nina hysteria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu tumezoea vile viatu si apa virudishe embu
Hahahahh hakushindi weweMzigua anaongoza uweee[emoji23] [emoji23]
Nimebadili avatar maaa
Mi nikikereka halafu namdharau mtu basi nacheeeka namuonea huruma sijui.Jaaaman,hahaha mi nikichambwa ndo nacheka zaidi[emoji23] ngoja niirudishe maana doh
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8] love u too shem darlingLove yuuuuuu moaaaaaaa shem
Mamaa wa high heels nakuona nakuona[emoji5]Jaaaman,hahaha mi nikichambwa ndo nacheka zaidi[emoji23] ngoja niirudishe maana doh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye vipimo vyenuKifua size Safi
Kiuno size Safi
Hipsi japo ukikaa zinatapanyika nazo Safi
Chura.......[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kiukweli unafaa Kwa matumizi yangu binafsi.
Kwani mkuu mimi siwezi kuwa member wa ofisi pia?laiti ungejua kwamba naweza kuwa boss kwenye hiyo officeVilivyofichwa ni kwa matumizi ya ofisi tu.
Usishtuke shemNimeshtuka shem
Hapana am kind of Man ,ambaye sitendi ,sioni ,siongei ,sisiki eti sababu kuna mtu kasema niseme au nifanye !! Ningekua waaina hiyo nahisi nisingekua ivi nilivo , kwaufupi mimi sio bendera Mdada. ,nikisema ujue nmesema mwenyewe ili niwe muhusika wanilichosema sio unaulizwa ,wee ulisema unaanza kuruka ruka ooohhhh namm niliambiwa.Kama unayajua hayo uache kujazwa upepo na watu wanaojisikia kuchukia watu kisa hawajiamini sawa eeeh.
Nilikua nakushangaa tu unavyojazwa na wewe unajazika. Anyways hatujawahi kuwa na shida tusonge mbele
Shemeji vipii tena mbona unanitishaDùuh
Kuna kucheka kwa dharau pia,kuna kucheka vya huruma,kuna kucheka ya kukosa cha kusema[emoji23] vicheko ni vya aina nyingiMi nikikereka halafu namdharau mtu basi nacheeeka namuonea huruma sijui.
Kama saa hizi Shunie ananichamba nashindwa hata kucheka maana ananichamba afu nashindwa kumdharau maana ananichamba vya ukweli