DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kumbe ulikuwa B.O.T kabisaaaa. Unasoma huku unanukia marash na note noteBby mi nimesoma IFM afu nilikua mjanja balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ile ya mwanzo iliniandama jamani kwahiyo kila unapoenda anakufata aje tuImekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoni[emoji23] [emoji23] yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Waiiii....basi nitabaki peke yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu ngoja ile I'd ya toka mchana iliyokuwa inanitukana mm na wewe si imepata ban au kafungua nyingine maana ilikuwa inaniandama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole mamaImekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoni[emoji23] [emoji23] yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
Nop kupatwaAlimaanisha kupitwa tu itakua
Naona unachekelea usaliti ndani ya jiji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Id mpyaNa nni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuriSa ivi sasa sio kujiuza tena shunie,saiv mimi mimba yangu ilipatikania jumba bovu,mara bibi angu ananisubir makaburini jaman[emoji23] huku si kutafutiana ban jolie mimi
IpotezeeeId mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila wanakuaga kama wamekatwa vichwa ujinga wanaoandikaSa ivi sasa sio kujiuza tena shunie,saiv mimi mimba yangu ilipatikania jumba bovu,mara bibi angu ananisubir makaburini jaman[emoji23] huku si kutafutiana ban jolie mimi
Yaan Ngabu ikinikuta tu sehemu naquotiwa eti niache kujiuza najiuza sana hivi nianze kusema naamua kugawa papuchi patakalika hapa jfHahahaaa
Watu ni mafisi sana aisee.
Kwa nini wanaogopa kukutukana na IDs zao zilizozoeleka?
Halafu hapo usikute unatukanwa sababu unamkwoti Ngabu na Mzigua!!
Naona usaliti unaendelea nje nje.Yaaaani balaa.
Inawezekana pia. Maana mimi Jolie na Shunie tunakula michambo jamani. Ingawa kuna Id zinatukana kila mtuHahahaaa
Watu ni mafisi sana aisee.
Kwa nini wanaogopa kukutukana na IDs zao zilizozoeleka?
Halafu hapo usikute unatukanwa sababu unamkwoti Ngabu na Mzigua!!
Hapana shemeji hakuna usaliti uwe na jamani zote yaanNaona unachekelea usaliti ndani ya jiji