Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Hunishindi mimi nakwambiaBest me naogopa mambo za kuonana na watu wa jf yaan me muoga mnoooo
Acha tu mama acha tuonekane washamba aiseeHunishindi mimi nakwambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aminaaaa,, Kwa uwezo wa roho[emoji23] [emoji23] Big Ameeen..na ikatimie
JJ miss you...Hunishindi mimi nakwambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]JJ kaniita kaka..hahaha mzigua asije kuniita mjomba tu hahahahaha
Mc u more kaka hazardJJ miss you...
Sasa n mashindano [emoji23] [emoji23]Tukifika huko ni kusuuza makoo tu,,ila unakua ushapendeza nyumbaniView attachment 725093
JJ miss you...
Mtu na kaka akeeMc u more kaka hazard
ShemAcha tu mama acha tuonekane washamba aisee
Yanii ngachokaaMtu na kaka akee
Ushamba tatizo. Sa unakuja kuangalia kama mzuri ili unipike au? Ilaa huyo mkaka anaonekana hana shida wakunyumbaYaan shemeji nimekuwa muoga sana na watu wa jf unaweza kuonana na mtu kwa nia nzuri tu ili mfahamiane mwisho wa siku yataibuka mengine kwahiyo huwa naona bora niepukane nayo
Ndio ndio mkuu...ila traffic wangehamua kutukazia wkend tungekula sana fain na hvi vyombo vya usafiri
Nakutafuta sana.Niko Protea town. Heienek zangu nazikuta wapi leo?
[emoji23] au kuna ubaya?Yanii ngachokaa
Mtu na kaka akee
Anakuja shemShem
Barbie wangu mzigua90 umemuweka wap?
Namuona kwa mbali sana na nkimpigia sim haipokelewi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanii ngachokaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] uoga wako tu white.....
Ila incase tukionana wengine sisi ni kagame figure tusije onekana mario nitakupa meza yako utakula na kunywa dear [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Napata hofu sana juu yake.Anakuja shem
Sikuona hii ndio nimeona muda huu...Niko Protea town. Heienek zangu nazikuta wapi leo?
Ubaya upooo ukaka vipiiii unataka kunyima nini mtoto wa mwanamke mwenzio[emoji23] au kuna ubaya?