Weekend

Weekend

Tukifika huko ni kusuuza makoo tu,,ila unakua ushapendeza nyumbaniView attachment 725093
Sasa n mashindano [emoji23] [emoji23]

Me home hakukalik
Ntaenda nkiwa nmewaka
IMG-20171126-WA0068.jpeg
 
Yaan shemeji nimekuwa muoga sana na watu wa jf unaweza kuonana na mtu kwa nia nzuri tu ili mfahamiane mwisho wa siku yataibuka mengine kwahiyo huwa naona bora niepukane nayo
Ushamba tatizo. Sa unakuja kuangalia kama mzuri ili unipike au? Ilaa huyo mkaka anaonekana hana shida wakunyumba
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] uoga wako tu white.....

Ila incase tukionana wengine sisi ni kagame figure tusije onekana mario nitakupa meza yako utakula na kunywa dear [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom