Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Laahaullah, ina maana weye ni "fulatisikilini" au wanyamwezi wanaita "kityempe"?Siamini, hebu geuka nione!Unata michezo ya sheikh yakhee? Sio mtumiaji mie.
Kweli. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Teh teh haya kuwa kiti Chief hamna shidawewe Jamaa bwana ..huelewi maana ya chit chat au ...yaani mpka matani wayachukulia serious au ...una hang over ya bangi uliyovuta usiku wa Jana mpka leo haijakutoka...yaani ilimradi ukosoe hata visivyo hitaji kukosolewa ..kazi kweli kweli ..
kufukua kaburiNgoja nisave kabisa hii picha kwa matumiz ya baadae
uko vizuriNishapata picha ya kujipigia selfie
teheeee ...namimi uniachieTeh teh haya kuwa kiti Chief hamna shida
Ngoja niendelee kumsikiliza Bob Marley hapa nakula ganja zangu huku pembeni kuna kimto kinatiririsha maji na visauti vya ndege
haaa unabishaaa??Weee. Sio kweli.
Inabidi CHAPUTA wakulipe hela zako kwa walichoifanyi hio pichaIssa Weekend.
ngoja nikukaushie nisikuexpose buree ukaja ukanilaumu baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nabisha. Ilikua wapi?
Leo nakaushaa hahahaNo sema tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]