Weekend

Weekend

Kweli. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wewe Jamaa bwana ..huelewi maana ya chit chat au ...yaani mpka matani wayachukulia serious au ...una hang over ya bangi uliyovuta usiku wa Jana mpka leo haijakutoka...yaani ilimradi ukosoe hata visivyo hitaji kukosolewa ..kazi kweli kweli ..
Teh teh haya kuwa kiti Chief hamna shida

Ngoja niendelee kumsikiliza Bob Marley hapa nakula ganja zangu huku pembeni kuna kimto kinatiririsha maji na visauti vya ndege
 
Kumbe ndio wewe nimekuona leo mtaa ukikatisha [emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]
 
Wengine starehe zetu ni hz
Chelsea babe
b4d4207f4ef5566b5eb791bc0d187407.jpg
 
Back
Top Bottom