Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mabinti wawili tofauti niliwaona wenye mibode kama huu...nikajua wewe🙂🙂Ijumaa nilikua home tu mkuu.
Si wajua wenye mibode hii wengi mji huu. Naanza kuzeeka sijui. Nikisema nikae kitandani kidogo tu nivute muda wa kutoka nikishtuka tayari saa kumi usiku [emoji23][emoji23]kuna mabinti wawili tofauti niliwaona wenye mibode kama huu...nikajua wewe🙂🙂
😀😀😀😀Si wajua wenye mibode hii wengi mji huu. Naanza kuzeeka sijui. Nikisema nikae kitandani kidogo tu nivute muda wa kutoka nikishtuka tayari saa kumi usiku [emoji23][emoji23]
hahaha haswaaa...Yani mpaka najishangaa. Au ni kukosa hela pia kunapoteza mzukq wa kutoka?
Kwangu imekataa kufungua hebu itume tenaNgoja nisave kabisa hii picha kwa matumiz ya baadae
Pole,Leo blue Monday yako iko vzrKwa kuchoka sana na kujuta kwanini jana nimekunywa