Weekend

Weekend

Mazoezi nilianza last week ila nikashindwa
Mpaka leo bado naumwa
Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu

Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
 
Labda awe wa kike,
Akiwa wa kiume tutaishia kulana tu.
 
Nimeshaongezeka sana,
Nilipima uzito nimefika 97kg
Najaribu diet ila siwezi kuishi bila kula nyama..
Mazoezi nayo nimeshindwa...
Gym nikienda ntaishia kuliwa tu..
Naona niridhike kwa kweli
Duh!! Pole mpendwa 97kg ni nyingi mnoo. Mazoezi huwez shindwa ila umeshindwa kuvumilia mazoezi.

Ila kama umeridhika na hali hiyo its fine.
Ingekuwa tunaishi karibu sasa hiv atleast ungekuwa umepungua.
 
Back
Top Bottom