Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Hehehee ungeolewa tu jmnSanto sana... mimi pia napenda sana mpira pia ni shabiki damu.. na nilinusurika kuolewa na footballer.. Yani almanusura...
cc Smart911
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehee ungeolewa tu jmnSanto sana... mimi pia napenda sana mpira pia ni shabiki damu.. na nilinusurika kuolewa na footballer.. Yani almanusura...
cc Smart911
Haina hata haja ya kujiandaa mie mida wowte tayar tayar kama mjeda vile..Jiandae kuringa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooh mambo ni moto
Mi nikikaa kwenye hicho kiti nyama nyama huwa zinatokeza kwa nje
Naonaga bora nikalie bench
Mazoezi nilianza last week ila nikashindwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fanya mazoezi kama huipendi hali hiyo mdugu yangu
Ooh mambo ni moto
Mi nikikaa kwenye hicho kiti nyama nyama huwa zinatokeza kwa nje
Naonaga bora nikalie bench
MmmhOoh mambo ni moto
Mi nikikaa kwenye hicho kiti nyama nyama huwa zinatokeza kwa nje
Naonaga bora nikalie bench
Unaguna nini?Mmmh
Siku zote najuaga we potabo Fulani hiv amazingUnaguna nini?
Umekosea mkuu,Siku zote najuaga we potabo Fulani hiv amazing
Asee sijakosea sana,kumbe ushawahi kuwa portable, usiongezeke sanaUmekosea mkuu,
Nilikuwa portable miaka ya nyuma,
Baadae nikaanza polepole kufumuka,
Huu mwaka ndiyo umenimaliza kabisa nimekuwa wa duara.
Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuuMazoezi nilianza last week ila nikashindwa
Mpaka leo bado naumwa
Nimeshaongezeka sana,Asee sijakosea sana,kumbe ushawahi kuwa portable, usiongezeke sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekosea mkuu,
Nilikuwa portable miaka ya nyuma,
Baadae nikaanza polepole kufumuka,
Huu mwaka ndiyo umenimaliza kabisa nimekuwa wa duara.
Waliofanikiwa hongera zaoWatu wanaona ni jambo rahisi kupungua
Si rahisi ila inawezekanaWatu wanaona ni jambo rahisi kupungua
Labda awe wa kike,Kwa wiki ya mwanzo ni kawaida tu misuli inakiwa haijazoea, oxygen debt ndani ya misuli, ila ukikomaa mpaka yale maumivu yaishe mbona unapeta tuu
Mtafute trainer au mtu yeyote wa kufanya nae mazoezi awe anakuhamasisha, akupunguzie uvivu.
Safi jiachie ,ila we unafaa uwe portable fulan hvNimeshaongezeka sana,
Nilipima uzito nimefika 97kg
Najaribu diet ila siwezi kuishi bila kula nyama..
Mazoezi nayo nimeshindwa...
Gym nikienda ntaishia kuliwa tu..
Naona niridhike kwa kweli
Duh!! Pole mpendwa 97kg ni nyingi mnoo. Mazoezi huwez shindwa ila umeshindwa kuvumilia mazoezi.Nimeshaongezeka sana,
Nilipima uzito nimefika 97kg
Najaribu diet ila siwezi kuishi bila kula nyama..
Mazoezi nayo nimeshindwa...
Gym nikienda ntaishia kuliwa tu..
Naona niridhike kwa kweli