Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mi mwenyewe nilijua ni mimba,nikapima nikachokaHuu mwaka utakua na matatizo. Mi niliongezeka kilo nyingi sana ndani ya mwezi. Ningekua nimefanya mchezo mbaya ningesema labda nina kamtu. Hapo ndo nikasema wacha nijaribu diet nashukuru kidooogo ikaleta matunda
Nimejaribu ya mbogamboga nikashindwa kabisa,
Yaani nikikaa hivi napata hamu ya nyama hatari, mchana sili zaidi ya juice au matunda,usiku sasa !!!!