Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna hamna utakuwa na kilo za big show[emoji23] [emoji23]
Sura yangu ngumu pia,hivyo sichaguiKwako sipati point hata moja,urefu huu,utege wa mazoezi,sura ngumu ,
Hizo sifa zingine sina,still nimefeli,nashukuru we sura huangaliiSura sijali kabisa
Umenitamanisha niishi karibu na wewe labda na mimi nitapungua.Duh!! Pole mpendwa 97kg ni nyingi mnoo. Mazoezi huwez shindwa ila umeshindwa kuvumilia mazoezi.
Ila kama umeridhika na hali hiyo its fine.
Ingekuwa tunaishi karibu sasa hiv atleast ungekuwa umepungua.
[emoji3] ,mmh ya kweli hayo ?Sura yangu ngumu pia,hivyo sichagui
Aahh.. kama ni hayo ya kienyeji usiyaache ndugu yangu, we gonga tu. Wakati ndio huu kula tani yako itafika pointi wanakuletea hata uji tu haupiyi kwenye koo[emoji17] [emoji17] [emoji17]hahahah nipo vijijin kuku nje nje!acha nile,maisha yenyewe ndohayahaya
Nitajie pombe unazokunywa na mimi nitakuambia tabia yako![]()
Niambie nije na nn hapo
Ya kweli,kuna siku niliwiwa nikaweka picha yangu humu,mkaninanga nikaitoa...[emoji3] ,mmh ya kweli hayo ?
Mi usiku najitahidi kuacha. Nikirudi nyumbani muda wa mtoto kula naenda kujifungua chumbani mpaka amalize kula nisije tamani kulaMi mwenyewe nilijua ni mimba,nikapima nikachoka
Nimejaribu ya mbogamboga nikashindwa kabisa,
Yaani nikikaa hivi napata hamu ya nyama hatari, mchana sili zaidi ya juice au matunda,usiku sasa !!!!
Njoo tu kigamboni bibie..Umenitamanisha niishi karibu na wewe labda na mimi nitapungua.
Sawa unitagYa kweli,kuna siku niliwiwa nikaweka picha yangu humu,mkaninanga nikaitoa...
Ila siku nyingine nikiwiwa tena nitaiweka...utaondoa mashaka yako yoote
Pole, lakini ni yakupuuzia tu.Ya kweli,kuna siku niliwiwa nikaweka picha yangu humu,mkaninanga nikaitoa...
Ila siku nyingine nikiwiwa tena nitaiweka...utaondoa mashaka yako yoote
Kwako sipati point hata moja,urefu huu,utege wa mazoezi, ngumu ,
Huu utege wa mpira ,kwa wadada hupati kitu,wana choice zaomen bila utege haipendez
Huu utege wa mpira ,kwa wadada hupati kitu,wana choice zao