Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja ya mi kutafuta bby humu,sio kwa mbebisho huuI wañna c u mai bby
weekend ikifika nitakushtua777 sana sana japo naweza nisitoke home miezi miwili.
Niko sinza saa hii
Njoo PM [emoji4]Ina malipo?
Ndio dear...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heheheh angalau umeturahisishia kazi watu tusiojulkanaEeeeh anaitwa The Famous Julius Magembe [emoji23]
hahaha kumbe hili nyani linaitwa Jully looh!!
We jamaa una swagger sikuwezi [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapana.
Naitwa li Richard Mugizi.
Ni Google tu utanipata.
Ila ukini Google usiweke ‘li’.
Hiyo itumie hapa tu.
Hivyo niite li Nyani Ngabu
Pale Sinza Green Lounge hiyo hela napata heineken 12 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu msukuma anatuletea mambo ya USA wakati wabongo tumeshindia vichwa vya dagaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaa. Huyu mtata
We jamaa una swagger sikuwezi [emoji12] [emoji12] [emoji12]