Weekend

Santo sana... mimi pia napenda sana mpira pia ni shabiki damu.. na nilinusurika kuolewa na footballer.. Yani almanusura...

cc Smart911
Lol. Mi bado natamani kuolewa na footballer lakini anaecheza mpira for fun sio kama kazi.
 
kuna mabinti wawili tofauti niliwaona wenye mibode kama huu...nikajua weweπŸ™‚πŸ™‚
Si wajua wenye mibode hii wengi mji huu. Naanza kuzeeka sijui. Nikisema nikae kitandani kidogo tu nivute muda wa kutoka nikishtuka tayari saa kumi usiku [emoji23][emoji23]
 
Si wajua wenye mibode hii wengi mji huu. Naanza kuzeeka sijui. Nikisema nikae kitandani kidogo tu nivute muda wa kutoka nikishtuka tayari saa kumi usiku [emoji23][emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yawezekana...mi mwenyewe nimekuwa mtoro sana wa mitoko siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…