Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi elewa chochote hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi elewa chochote hapo
Ntafanyaje sasa[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyojipa moyo sasa
Nazitaman hizoNi ndogo kuliko tundu la sindano shem
Nifanyaje nikue na minofu,nimfurahishe mume?Poleni [emoji23][emoji23]
Ikitokea unakula baba?Bby minofu labda itokee tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Davet aje kujibu hapaNa sisi masanamu ya michellin je
Swali la msingiSasa unawasaidiaje mkuu nao wawe na minofu
Kwa akili yake huyo kaamini alivyoviona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huna cha kuwashauri kabisaNo mwenyewe sijui minofu niliitoa wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaDavet aje kujibu hapa
Nakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much babyKipotabo anaraha yake bana..mikunjo kibao inakubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pigia mstariIkitokea unakula baba?
OhooNazitaman hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata vibonge tunajikunjaaa
Bebe hivyo hvyo unatoshaa...guu hilo mzuka tosha kwanguNifanyaje nikue na minofu,nimfurahishe mume?
WooooooooooooozeeeeeeerNakupenda kwa kuwa hujawahi nitoa kasoro,bwana akuzidishie moyo wa uvumilivu.Kijana mwema sana wewe,hujaona sura ya baba,ndo kwanza unaniita malkia,the cutest,one and only,i love u so much baby
Hahahahaha apige tu maana,naumwa leo nimeshindwa kutoka na baby,nimemruhusu kwa masharti ya kuwahi kurudi,sasa kama anafanya ndivyo sivyo mzigua akipigana kwa niaba yangu sio vibaya.Sasa Jolie kama na hazard mnataniana hamkulani utajua mwenyewe hiyo kazi uliyompa mzigua atapiga huko mpaka hazard mwenyewe naona humjui mzigua akilewa