Weekend

Weekend

Sasa Jolie kama na hazard mnataniana hamkulani utajua mwenyewe hiyo kazi uliyompa mzigua atapiga huko mpaka hazard mwenyewe naona humjui mzigua akilewa
Hahahahaha apige tu maana,naumwa leo nimeshindwa kutoka na baby,nimemruhusu kwa masharti ya kuwahi kurudi,sasa kama anafanya ndivyo sivyo mzigua akipigana kwa niaba yangu sio vibaya.
 
Back
Top Bottom