sometimes kupumzika ni muhimu pia ujue..Basi itakua niko kwenye hiyo situation
Tuma tena ,nione uumbaji watu wanaosifiaHahahahahaa.
Hahahaha, kivipi?Yaani ya blue haswaa
doh hongera sana..Nimepumzika sana mwezi huu. Karibia mwezi wote huu sijatoka
Pata mchemsho au kongoro kuuuubwaaHangover
Umenoga mtoto, [emoji85] [emoji85] . Mate yanimwaika mie.[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Enheee
Hahahaha, safi sanaKuanzia jumatatu mpaka ijumaa mchana ni siku za diet. Hapa naenda kunywa maji mpaka utumbo uelee.
Hahaa.. uje niringe, halafu siko kigamboni niko mitaa ya kwenu huku.Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo
πππMi unadhani nafanya kwa mapenzi yangu sasa? Uchumi ndo unanifanyisha kwa lazima [emoji3][emoji3][emoji3]
Naam hivi ndio vitu mie nataka, hapa hata kugharamia lunch,dinner huoni hasaraIssa Weekend.
Nimechomoka kigamboni mara moja, leo mipo mitaa ya kwenu.. fanya mpango tuonane tupate walau kinywaji.[emoji39] [emoji39]Yasikumwagike nakujia Kigamboni leo