Weekend

Weekend

Kweli kabisa huoo ukaka ndo nilikua naupinga kwa nguvu nasikutaka anizoee kiukaka kaka.

Ujue nyie wanawake ,mwanamme akikufata kiurafiki naww unamchuku kirafiki ,,akija kiudada nakaka naww unamchukua ivoivo.akija kiubaby baby ndo naww unamkubalia kua baby

Sasa huwa nakua makin sana kwenye iyo hatua .

Ila weee naye ,inaonekana wanawake wenzako wanakuonea wivu sana when they stare at you
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom