Weekend

Weekend

Umeona eeeeee na wanakumendea
sana Sasa lazma npite huku

Kuchunga mali yang
Unajua hakuna kaz ngumu
Kama kumpata wa kumvisha Pete

Sweetie
Mmmh hii kazi nzito haiendi pasipo akili zako na za Mungu
 
Kwa kufanyaje sasa ili anisaidie?
Kama mm Kila sku natanguliza
Maombi first ili Mungu aweze

Kunisaidia safar yang ya kukuvisha
pete mbele ya altare itimie

Huku nikiwa napambana na Hawa
Maadui zang wanaokumendea
 
Tukifika huko ni kusuuza makoo tu,,ila unakua ushapendeza nyumbani
1521999922940.jpg
 
Kama mm Kila sku natanguliza
Maombi first ili Mungu aweze

Kunisaidia safar yang ya kukuvisha
pete mbele ya altare itimie

Huku nikiwa napambana na Hawa
Maadui zang wanaokumendea
[emoji23] [emoji23] Big Ameeen..na ikatimie
 
Back
Top Bottom