Weekend

Weekend

[emoji12] [emoji12] [emoji12] we mwongo white we utakuja fontaine blue I have a respect for you dear... tutapata chakula na drinks then utaenda home
Aiseeee sipendagi uongo wala kumuongopea mtu halafu siwezi tania mambo za dini me siji mkuu utaonana na mzigua kwanza nilivyo muoga naongea tu hapa
 
Me mwenyewe naishi nanjilinji huku na kichumba changu kimoja ni kama store kila kitu ndani kwahiyo usiogope uwe na amani zote mwendokasi ndio usafiri wangu nasimamia bomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] heee... mara mtu anatia timu na vogue hapo, binadamu nyie.. ndio maana halisi ya "nanjilinji" itaeleweka
 
Aiseeee sipendagi uongo wala kumuongopea mtu halafu siwezi tania mambo za dini me siji mkuu utaonana na mzigua kwanza nilovyo muoga naongea tu hapa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] watu waoga ni watu makini zaidi so na imani utakuwa mtu makini zaidi yangu....

Nikikutana na mzigua hope utakuwa mtu w pili kukutana na mimi kutoka humu jf...
 
Back
Top Bottom