theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Hapana kati ya wasukuma niliokutana nao i mean niliosoma nao na ambao nakutana nao kwenye maisha halisi kidogo wewe uko tofouti....Ah mi mshamba mshamba tu nayejidai nipo US kumbe Nipo Kinyerezi!
Teh teh!
So Hongera bwana Nyani....