Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee sijajuaHuyo anataka majimama tu
Antonnia babe...em uje uone mwenyewe cuteYani rfk angu Carrasco putin huyu huyu ndo anakupa faraja au Carrasco gani?
Acha kutuzuga funguka ili tujue nani mke mkubwaKumbe nina bwana na sijui jaman😂
Mbona hamkuniambia, watu wasiri nyie
Mzee EllyMzee nani Sasa??
Aah anapenda mijimama ile inapaka wanja hadi kweny masikio inaendesha Alphard sana sana.Aisee sijajua
😂😂 na kazi iendeleeWake wenza tutaunga tela
Huu mchezo hauhitaji hasira
😂😂😂Mtaje 🙂
Eh so ni Mario au ni yeye ndio anahongaAah anapenda mijimama ile inapaka wanja hadi kweny masikio inaendesha Alphard sana sana.
Bado amenuna?Same to u there dear 😍🥰🥰
Miaka mingi sana. Kama zali hivi.....Nipo hapa kubwa lao😘
Ndio mtaje
AtanibondaNdio mtaje
Bwana gani huyo mie nianze kumpiga vizinga anitumie na ya kutoleaAcha kutuzuga funguka ili tujue nani mke mkubwa
hayakuisha jana nimemchek ajanijbu hadi nowBado amenuna?
Au Ile siku ulimbembeleza vema