Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ila wanaume tuna roho nzuri sana, population yenu ni kubwa mnoAloooo 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanaume tuna roho nzuri sana, population yenu ni kubwa mnoAloooo 😂😂
Ushanichoka weweUkiona kakomaa sana mkaze tu,Kwan shida nn
Kumbe mnatupa favour eeh, hatukujua aiseeIla wanaume tuna roho nzuri sana, population yenu ni kubwa mno
🤣🤭Ushanichoka wewe
Ndio tena tupo makini sana na hiloKumbe mnatupa favour eeh, hatukujua aisee
😁😁😁😁😁😁 Wewe wazee hawaachagi hilooSasa kumbe ana baby kwangu anataka kampani gani?
Mzee ni yupi?😁😁😁😁😁😁 Wewe wazee hawaachagi hiloo
ili nikutag hapa.....Jamen ulikuwa unanitafutia nin?
Nimekuita kijana umekataaMie mbabu lkn sio kijana
Sawa sijasoma hata uzi unahusu ninili nikutag hapa.....
Kumbe jina ni jipya saiv.
Sababu unapenda vibabu😆Nimekuita kijana umekataa
Kumbe tuko wengi...sijui hata uzi unasemajeSawa sijasoma hata uzi unahusu nin
Dah kuna memba ni invisibleJason Statham2 kuja huku kipenzi[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji1635]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mimi nampenda Culture Me anipe farajaMwite mtu aje akupe faraja Kwa maneno mazuri mie ni Carrasco putin dear naomba uje unifariji
PENZI
Penzi njia ya adhabu, sina budi kuipita,
Tena ina nyingi tabu, ila siwezi iwata,
Leo naomba jawabu, ni lini nitakupata?
Penzi pia ni safari, ya hatari na salama,
Kuna wakati shuari, mara upepo wavuma,
Sote tuwe wasafiri, katu tusirudi nyuma.
Penzi ni kama misimu, iliyo ndani ya mwaka,
Kwa fuuza haidumu, kipupwe mara masika,
Kuna muda ufahamu, majani hupukutika.
Penzi ni kama bahari, hutulia huchafuka,
Hupita mumo vihori, meli kubwa kadhalika,
Hivyo lataka hadhari, sivyo tupu kusumbuka.
Penzi mithili ya jua, huchomoza na kuzama,
Haya tusipoyajua, hakika twaenda kwama,
Hapa tamati natua, katika wako mtima. Hii ni kwakipenzi changu Carrasco putin .
Je wewe unampa faraja nani??
Kwa mara ya kwanza 😅Jason Statham2 kuja huku kipenzi[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji1635]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mm sijakuokotaKuniokota katk mamillion wanaonidharau ni bahati tosha....acha nimheshimu mkuu