Weightloss Journey

Inawezekana
Lakini mie nakula kila kitu,japo sili kila muda.... lakini sijawahi kufikia ukibonge wala kitambi

Labda inawezekana huko mbeleni na mie nikaja kujishangaa
Wengine wakitoka kwa Dr. Kamugisha pale muhimbili ukapatq vitu vya malezi ndani ya 90days utabadirika
 


Kwa taarifa yako kutokana na hali ngumu za kimaisha Watz wengi huwa wanakula mlo mmoja kwa siku (23/1)----- kimsingi unataka kuongelea kitu cha kawaida kwa Watz ambao tayari walishakuwepo kwenye One meal a day workout kitambo,

Geuze mada na iwe kinyume chake, Watz wengi tutakushukuru.
 


A Weight loss or weight reduction journey ??!
 
A Weight loss or weight reduction journey ??!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unanifurahisha mkuu.

You name it, mzungu wa nafsi na roho.
 
Laiti tungekua tunajua kupunuza mwili ilivyo kazi tungepambana sana kujitunza tusinenepe kupitiliza
Nilikua 55 nkafika 100 sasa nimetoka 100 hadi 65 πŸ’ͺ

Bila kutumia madawa au hizo wanazoita suppliments
Uliwezaje maana miye nimeacha mambo ya chai asbh, na pepsi napambana hapa
 
Physical exercise ndiyo zimenisaidia. 1,000 steps zilinifanya nianze kutembea. Kutembea ni sawa na kuendesha baiskeli mafuta yanapungua taratibu. Hata mwendo wa dakika 30 kila siku baada ya miezi sita utaona matokeo.
 
Achana na sukari, soda, bia na ugali, wali, chips utaona majibu
Sinywi bia kbs,soda nimeacha, chips pia nimetupa kule. Ugali siyo mpenzi hapo wali ndiyo nitafute chocho la kukatiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…