Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
IMG_9958.jpeg
 
..."utusamehe muheshimiwa.Walisema watachinja ng'ombe mia na zaidi lakini nyama lainilaini zote wanakula malaiguanani.Ninyi tunaomba mle makongoro na supu ya vichwa"...!
 
Mh,kuna kijana anaitwa Luca Mwashambwa amezuiliwa getini akakutaja wewe,unamjua?
 
Hakuna haki sawa...mwanamke ampigie magoti mwanaume.
 
Back
Top Bottom