Na sie ambao tunaopenda kulima tutume nini?Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Naona watu wa kile chombo wameona waje na hii mbinu ya kuzitambua ID za watu. Maboya wataingia mtegoni.Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
itumie tuWekeni CV zenu ndugu zangu hii ni fursa nzuri tuitumie
fursa hailazishwi kuiona!Wekeni CV zenu ndugu zangu hii ni fursa nzuri tuitumie
We are all invisible , unataka kutuambia tuwe kama kule Facebook sasaHabarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Mtafute fala mwenzako deo kisanduHabarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima