Weka CV yako hapa

Weka CV yako hapa

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,772
Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
 
Na sie ambao tunaopenda kulima tutume nini?
 
Naona watu wa kile chombo wameona waje na hii mbinu ya kuzitambua ID za watu. Maboya wataingia mtegoni.
 
Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
We are all invisible , unataka kutuambia tuwe kama kule Facebook sasa
 
Sasa unatoaje wazo bila ww kuwa wa mfano?
 
Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Mtafute fala mwenzako deo kisandu
 
Back
Top Bottom