Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo serious na Chama😅Moja kwa moja Mimi naanza
View attachment 2825729
Nipo seriousMkuu upo serious na Chama😅
Mkuu ccm app serious,,??Moja kwa moja Mimi naanza
View attachment 2825729
Ndiyo mkuu. Shida nini?Mkuu ccm app serious,,??
😁😁😁😁 Hamna shida mkuu?Ndiyo mkuu. Shida nini?
😂😂 CCM AppMoja kwa moja Mimi naanza
View attachment 2825729
CCM app!!!??Mbona mnanishambulia wazee..? Shida nini?
Angalia wanafiki watakuita mzinzi
HahahahaAngalia wanafiki watakuita mzinzi
Sidhani kama kuna taarifa ya maana unaweza pata kipitia screenshot mkuu.Phishing. Chukua tahadhari taarifa zako ndivyo zitakavyo nyukuliwa.
Wapo memba Wengi humu JF ambao wanakuwa wanaomba ushare screenshots n.k na wanaweza kuwa na nia nzuri tu, ila wapo wengine ambao wanaweza kuwa na hila.
Screeshots zako zinaweza kujumuisha taarifa zingine kama vile aina ya Simujanja unayotumia, maelezo mengine ya programu, operating system, na hata eneo lako la kijiografia.
Ndio maana unawasikia wengine wakidai wanaweza kukufikia tu ze maximum!
Just be careful with what you share.