Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ko shida ipo WapiCCM app!!!??
Kumbe wewe ccm, kumbaf kabisa,Moja kwa moja Mimi naanza
View attachment 2825729
Moja kwa moja Mimi naanza
View attachment 2825729
Uongo. Huwezi kupata location ya mtu kwa kuona picha ya Screen ya simu yakePhishing. Chukua tahadhari taarifa zako ndivyo zitakavyo nyukuliwa.
Wapo memba Wengi humu JF ambao wanakuwa wanaomba ushare screenshots n.k na wanaweza kuwa na nia nzuri tu, ila wapo wengine ambao wanaweza kuwa na hila.
Screeshots zako zinaweza kujumuisha taarifa zingine kama vile aina ya Simujanja unayotumia, maelezo mengine ya programu, operating system, na hata eneo lako la kijiografia.
Ndio maana unawasikia wengine wakidai wanaweza kukufikia tu ze maximum!
Just be careful with what you share.
Tunapangiana chama? Unajua nanufaikaje na CCM?Kumbe wewe ccm, kumbaf kabisa,
Uchawa sio? 😂😂Tunapangiana chama? Unajua nanufaikaje na CCM?
Jamaa alichosema sio Uongo kina ukweli kwa 100%Phishing. Chukua tahadhari taarifa zako ndivyo zitakavyo nyukuliwa.
Wapo memba Wengi humu JF ambao wanakuwa wanaomba ushare screenshots n.k na wanaweza kuwa na nia nzuri tu, ila wapo wengine ambao wanaweza kuwa na hila.
Screeshots zako zinaweza kujumuisha taarifa zingine kama vile aina ya Simujanja unayotumia, maelezo mengine ya programu, operating system, na hata eneo lako la kijiografia.
Ndio maana unawasikia wengine wakidai wanaweza kukufikia tu ze maximum!
Just be careful with what you share.
hatari ndio maana wengine tunaweka screenshort za kupakua mtandaoni kuchangamsha uzi tuJamaa alichosema sio Uongo kina ukweli kwa 100%
Ukiwa hujui technology ya Cybersecurity na Hacking kwa Ujumla unaweza dhani jamaa ni Muongo au ni uchawi...
But ngoja niwafumbue macho kwanza...
Mtu anaweza kukutrack kutumia picha utakayopiga au screenshot kwa sababu huwa zimekuwa embarded na kitu kinaitwa Geotagging...
Au geotag...
Picha yoyote unayopiga sasa huwa na Geotag (Many smartphones automatically geotag their photos by default)
Sasa hizi geotag zikiwekwa kwenye simu husaidia nini..
Hizi geotag huwa na information kama Longitude na lattitude ya picha ilipopigwa..
Sasa mtu kukutrack huwa vyepesi sana akijua Longtude na latitude kwa sababu hizi ndo physical address zako...
SO NA MIMI NAKAZIA KUWENI MAKINI NA UTUMAJI WA PICHA MITANDAONI KAMA UNATAKA KUTOFAHAMIKA...
Picha inabeba vitu vingi sana ambavyo huenda hamvijui...
Cc:- Restless Hustler srinavas