Weka hapa screenshot ya screen ya Simu yako tujue social media platforms unazopenda zaidi

Phishing. Chukua tahadhari taarifa zako ndivyo zitakavyo nyukuliwa.

Wapo memba Wengi humu JF ambao wanakuwa wanaomba ushare screenshots n.k na wanaweza kuwa na nia nzuri tu, ila wapo wengine ambao wanaweza kuwa na hila.

Screeshots zako zinaweza kujumuisha taarifa zingine kama vile aina ya Simujanja unayotumia, maelezo mengine ya programu, operating system, na hata eneo lako la kijiografia.

Ndio maana unawasikia wengine wakidai wanaweza kukufikia tu ze maximum!

Just be careful with what you share.
 
Sidhani kama kuna taarifa ya maana unaweza pata kipitia screenshot mkuu.

Though una nia njema kuwaasa watu wasikurupuke ila hawawezi kupoteza chochote kwa ku share screenshot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…