Weka hapa starehe zenye kuleta raha ila watu wanazibeza

Kukata gogo aisee.
Afu liwe lile laini laini (SIO uharo!!)
Hapana!! Lile ambalo unatumia nguvu flani ya wastani tu kujikamua.
Afu Kama choo Ni Cha kuflash vile unasikia linatumbukia kwenye maji "chubwiii"๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Yani we ACHA tu! ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Kusikiliza bunge la EU
hahha tumetofautiana, mimi napendaga sana kusikiliza ralliea za trump, aisee jamaa ni anamwaga nondo ila ni comedian balaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ public speaking nampa A, yeye speech zake anaingeaga bila kuandikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ