Weka hapa starehe zenye kuleta raha ila watu wanazibeza

Weka hapa starehe zenye kuleta raha ila watu wanazibeza

Kukata gogo aisee.
Afu liwe lile laini laini (SIO uharo!!)
Hapana!! Lile ambalo unatumia nguvu flani ya wastani tu kujikamua.
Afu Kama choo Ni Cha kuflash vile unasikia linatumbukia kwenye maji "chubwiii"😋😋 Yani we ACHA tu! 😎😎
 
Kusikiliza bunge la EU
hahha tumetofautiana, mimi napendaga sana kusikiliza ralliea za trump, aisee jamaa ni anamwaga nondo ila ni comedian balaa 😂😂 public speaking nampa A, yeye speech zake anaingeaga bila kuandikiwa
 
Back
Top Bottom