Weka hapa starehe zenye kuleta raha ila watu wanazibeza

Umeshawahi kuachia mkojo kwenye nguo wakati mvua inanyesha......... That enjoyment kama upo Ibiza .............kile kijotooo
Duuuh hizi starehe nyingine bana
 
Huyo huwa siyo roho mtakatifu wewe...
Basi hicho unachodhani sicho,ndicho.
Kwa experience hyo ndo huwa kiburudisho kwangu.
Sihitaji ushahidi wa kisayansi,wala ujuzi wa mtu mwingine kunitolea maelezo/maelekezo ya ziada.
 
Kuvua sidiria au wigi unaporudi nyumbani baada ya siku ndefu kutoka mihangaiko
Haha.
Mie nakapendaga, basii ile unavua miwani, tupa mkobo, vua viatu na unaaanza ku-feel kile kiubaridi kabisa kinapenya, kisha zinafuatia nguo zoote halafu unaingia washroom, una jimwagia maji ya bariiiiiidi..!
 
🙄🙄😳😳
 
Hawa ndio Lisu alitarajia wataandamana
 
ile raha baada ya kumkula demu msumbufu alafu unakimbilia maskani kuhadithia, unaanza niwaambie nisiwaambie!!
 
Kuna muda umepanga budget yako yote ya mwezi kwenye kipato chako unachopata mara ngafla kuna pesa inajileta nje ya budget. Huna kuna kufeeling furani ivi unakapata na kujiona umenenepa ghafla.
 
Usiku wa safari fulani wa sehemu ulikua unadream tu kufika. Bwana we kila ukilala ukizinduka unaangalia saa......kamwe safari hiyo huwezi chelewa.
 
Kuna kale kastarehe chaputa wanakajua Unaweza jikuta unabusu Ukuta.
 
Kula jamani kula aargghh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] kuna muda nasikia kulia wakati wa kula sababu tuu ya raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…