Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
tena upige dryBangi....Aisee huu mmea uacheni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena upige dryBangi....Aisee huu mmea uacheni
ugoro vipi?kutafuna mirungi
Kuna mwana aliazima begi langu dogo la mgongoni siku kalirudisha nipo majalala hatari. Nina kasafari ka kwenda town halafu nina buku tu 500/= kwenda na nyingine kurudi, nipo kwenye daladala kulisachi nakuta 10k, you should have seen my face. I was glowing 😊😊😊
Duh hiyo ndio starehe tamu sasa unapata na mtaji heavyKuna hotel fulan tulikuwa tunajenga Yale makabati ya ukutani ya saruji, katika kuyavunja yale ya zamani si nikakutana na mfuko umejaa dollars za marekani?!
Kuja kuzibadili karibu millions tatu na ushee!
Acheni tu jamani...!
Hii inanikuta sana, kama jana nimekuta 20,000 sijui ya liniKukuta hela uliyoisahau kwenye suruali ukiwa uko majalala siku hiyo
ganja,kigongo,mmea,mjani,wida,cha ara,moshi, ongeza mengine...Bangi....Aisee huu mmea uacheni
kama hujawahi tumia ugoro omba wakupimie na uwe umeshibaugoro vipi?
Ugoro aka geji una stimu nzuri ukishautupia unabanwa na mavi saa hiyo hiyo!kama hujawahi tumia ugoro omba wakupimie na uwe umeshiba
ila sio mzuri` nimewahi tumia for 2 days nika ukimbia
Ila We jamaa kwa maswali upewe tuzo tu.
Watu wanachanganya feeling za starehe na the most high1. Kuchelewa kulala na kuamka umechoka, ile unataka kujiandaa kuwahi kazini, kichwa kinatulia unagundua kumbe upo off au likizo.
2. Umebanwa sana na haja kubwa au ndogo, ile raha unayopata unapoiachia haja iliyokutesa haina mfano. Mi huwa nafunga macho kabisa kama ni ndogo
3. Weekend umepigika zako home huna hata pesa ya pepsi, mara paap SMS inaingia, Imethibitishwa ya kiasi flani cha kwenda nje kujidai 😁
4. Kujisafisha maskio, kuna kasehemu flani ukisafisha na pamba unapata stim kali sana hadi macho yanapinduka
Kusali ndio starehe yangu kubwa, naama nakua napata hisia kama ndio naenda mbinguni.
Ibada ndiyo starehe nzuriiiiiiiii zaidi inayopuuzwa na wengi
Ndio maana mnapatana mavitambi. Hayo yote mauchafu ubashushia na Bia baridiUko na njaa kali,then mkuu wa meza kilo za kutosha,aliyechanganywa fresh na mboga mboga,ndizi/ugali pembeni,, shushia na castle baridi...
Boarding school kulikuwa na kale kaugonjwa cha mbupu erosion,sasa pakiwasha na pale utakapojikuna aiseee kuna feeling Kali sanaaa but baadae maumivu makali sana yanakuhusu