Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku mbili wala sikumwambia mtu nilivumilia kiume.
Mi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
 
Nilitembea kutoka muhimbili mpaka mbagala kwa mguu huku kichwani nimebeba beseni LA nguo na mkononi Nina kapu LA vyombo

Ilikuwa ni kipindi kile barabara ya kilwa inajengwa
 
Pole
 
Nakumbuka nilivyozaliwa,manesi wakaanza kunichapa vibao wakati sina kosa lolote
 
siku nilipo fukuzwa shule, bado miezi miwili nifanye mtihani wa fm6. tangu hapo nilisha chukia kusoma naona ni upuuzi tu, japo nilikuja rudi shule kwa msukumo wa wazee
 
Mi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
Mkuu bora kuyachota yote mara moja. Ulifanyiwa ukatili mkubwa mnooo
 
Siku nliposikia demu flani nilikua nasoma nae chuo na kukaa nae hostel moja kanitangazia kwa watu eti mimi bwana angu alikua ananila 071 kisa tu mabwana zetu walikua kundi moja..[emoji23][emoji23] kumbe yeye ndio analiwa 071 bwana...[emoji23][emoji23] ila namtafuta siku ya kumpata nampasua maana alijua kuniharibia cv yangu kuku yule
 
Ati nn ??
 
Siku nilipokunya mlangoni mwa bweni wanafunzi wenzangu wapo class za usiku wanàsoma prepo.
Walivyorudi tu toka prepo wakakuta kinyesi kinanuka tu.
Ilikuwa msala sanaaa siku hiyo àfu na mimi nimejituliza kama sijui vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…