Why ucheke hivo wajameni?Umenichekesha sanaaaaa daaah!
Hakuna maumivu mbele ya pesa
Nimeinamishwa, nikapakwa mate kilichoendelea siri yangu.
Pm yako nishaijibu.
Nenda kahangaike nayo
Hahaha,Mie mwanamke sio mngese, angekuwa mwanaume ndo ungesema mngese.
Kwani kufirrwa ajabu.
Acheni kufanya vitu vingine vionekane kama vile vya ajabu jamani.
Ndio ujue ni chaiulikuwa unakojoaje sasa hizo siku mbili?
Duh ulibakwa au?Kutolewa bikra ya mbele na nyuma kizembe
Hahahaha usiombe ukutane na RSM mnaa kwenye kitendo kama hikiMi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
Wee acha kabisa yaani usiombeeHahahaha usiombe ukutane na RSM mnaa kwenye kitendo kama hiki
Kuna sameja flani ye alikua hana doso lingine zaidi ya kubeba dunia,.. Siku tumedoji na wanangu tumelala hadi saa 3 akatukamata tulikroo chini ya vitanda vibaya mno then akatutoa nje kwenye mchana tulikroo vya kutosha mwisho akatubebesha dunia mzee hapo ni machozi + jasho vinamiminikaWee acha kabisa yaani usiombee
Hakuna adhabu ninayochukia jeshini kama kubeba dunia na ile kupiga simu na mwendo wa kibata bataKuna sameja flani ye alikua hana doso lingine zaidi ya kubeba dunia,.. Siku tumedoji na wanangu tumelala hadi saa 3 akatukamata tulikroo chini ya vitanda vibaya mno then akatutoa nje kwenye mchana tulikroo vya kutosha mwisho akatubebesha dunia mzee hapo ni machozi + jasho vinamiminika
Sitasahau
Hahahaha kupiga simu n noma mzee baba tumbo linakata kinyamaHakuna adhabu ninayochukia jeshini kama kubeba dunia na ile kupiga simu na mwendo wa kibata bata
Zote Kwa mda mmoja?Kutolewa bikra ya mbele na nyuma kizembe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
Kweli tena maana iliniuma kushiriki kitu ambacho sijahusika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuunga kwenye kuichukia hiyi bodi. Japo mimi nilisoma na kumaliza ila najutia sana kwanini nilifanya hivyo na kumaliza zaidi ya million 10 kusoma ujinga.Kitendo cha Kunyimwa mkopo wa elimu ya juu huku nina vigezo na kupoteza ndoto ya kusoma nikiamini ingenisaidia kunijengea uwezo na misingi mizuri ya kujitegemea na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayo izunguka jamii kwa uelewa mkubwa na ...japo maisha yanaendelea lkn naichukia bodi ya mikopo elimu ya juu