Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Mi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
Hahahaha usiombe ukutane na RSM mnaa kwenye kitendo kama hiki
 
Wee acha kabisa yaani usiombee
Kuna sameja flani ye alikua hana doso lingine zaidi ya kubeba dunia,.. Siku tumedoji na wanangu tumelala hadi saa 3 akatukamata tulikroo chini ya vitanda vibaya mno then akatutoa nje kwenye mchana tulikroo vya kutosha mwisho akatubebesha dunia mzee hapo ni machozi + jasho vinamiminika

Sitasahau
 
Hakuna adhabu ninayochukia jeshini kama kubeba dunia na ile kupiga simu na mwendo wa kibata bata
 
Mi sitasahau siku jeshini tulichota mavi chini kwa kidole kama (tutavyochota mafuta ya kujipaka kwenye kichupa)hadi yakaisha maana kuna mwenzetu alikunya nyuma ya hanga maafisa wakaja kuyakuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitendo cha Kunyimwa mkopo wa elimu ya juu huku nina vigezo na kupoteza ndoto ya kusoma nikiamini ingenisaidia kunijengea uwezo na misingi mizuri ya kujitegemea na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayo izunguka jamii kwa uelewa mkubwa na ...japo maisha yanaendelea lkn naichukia bodi ya mikopo elimu ya juu
Nakuunga kwenye kuichukia hiyi bodi. Japo mimi nilisoma na kumaliza ila najutia sana kwanini nilifanya hivyo na kumaliza zaidi ya million 10 kusoma ujinga.
 
Siku shonza na ruge walivoshirikiana kuzima moto kwa kuufunika na vifuuu huku wakiumwagia mafuta ya petroli
 
Back
Top Bottom