Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
495
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku mbili wala sikumwambia mtu nilivumilia kiume.
 
Siwezi kusahau nilijikata kichwani na shoka wakati napasua kuni 2010 lakini ujana nililazwa siku tatu nakuruhusiwa mpaka sasa niko vizuri
 
Sitosahau nilipotolewa sweta langu Sijui kwa kimombo wanaita foreskin.

Baada ya midawa-dawa waliyonichoma kuishiwa nguvu baada ya kutoka hospital nilipagawa, nilichachawa kama chizi karogwa.
 
Back
Top Bottom