Naanza mimi,
Misemo / quotes - nimeona au kusikia maneno ya hekima au sentensi nzuri, najiambia "nitaitumia baadaye", lakini naisahau kabla sijapata nafasi.
Namba ngeni za simu, huwa nasema nitasevu baadae ila muda unapita nakumuka sikuisevu hasa nikiwa nataka kumtafuta
napoingia youtube nikikuta video flani naweza kusema naicheki baadae ila hio baadae inafika naanza kujiuliza kuna video nilikuwa nataka kuicheki ila siikumbuki, huwa nina kiburi cha uvivu wa kushindwa kusave hata watch later kwa kujiamini sana
Orodha ya vitu vya kununua dukani naweza nikaishika vizuri nikipanga cya kwenda kununua, najiambia "vitu vitatu tu, sitasahau", lakini ukifika dukani nakumbuka viwili, narudi ndio nakumbuka sikununua kitu flani