Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora mkuu umezid kuongeza nyamaMoja ya Sifa kubwa y Atalanta ni kuwa wamekua wakifanya vizuri kwa misimu kadhaa licha ya wachezaji wao bora wengi kununuliwa na timu kubwa. Conti, Kessié , Bryan Cristante, Mattia Caldara, Alessandro Bastoni, Gagliardini.
Bora mkuu umezid kuongeza nyama
Uefa kwenye way yao naona wako underatted sana ila sitoshangaa wakiyarudia ya valenciaBaada kuwatizama kwenye mechi tatu za karibuni za Juventus, Lazio na Brescia ninachoweza kusema ni kuwa hawa jamaa wanaweza fanya lolote, sio watu wamchezo kabisa.
Pamoja mkuuPamoja sana mkuu pia kongole kwa kuifuatilia ligi hii maana watu wengi wanamentality kwamba ligi ni moja tu nayo ni england