Weka kando Juventus, Atalanta, Jinamizi liualo kimya kimya Ligi ya Serie A na UEFA

Weka kando Juventus, Atalanta, Jinamizi liualo kimya kimya Ligi ya Serie A na UEFA

Moja ya Sifa kubwa y Atalanta ni kuwa wamekua wakifanya vizuri kwa misimu kadhaa licha ya wachezaji wao bora wengi kununuliwa na timu kubwa. Conti, Kessié , Bryan Cristante, Mattia Caldara, Alessandro Bastoni, Gagliardini.
Bora mkuu umezid kuongeza nyama
 
Baada kuwatizama kwenye mechi tatu za karibuni za Juventus, Lazio na Brescia ninachoweza kusema ni kuwa hawa jamaa wanaweza fanya lolote, sio watu wamchezo kabisa.
 
Baada kuwatizama kwenye mechi tatu za karibuni za Juventus, Lazio na Brescia ninachoweza kusema ni kuwa hawa jamaa wanaweza fanya lolote, sio watu wamchezo kabisa.
Uefa kwenye way yao naona wako underatted sana ila sitoshangaa wakiyarudia ya valencia
 
Atalanta Bc. Hawa jamaa wapo vizuri sana. Tangu wanaanza kuonesha mwanga nilijua watapotea kwenye uso wa serie a ila wameniprove wrong. Kipindi anaondoka Andrea conti, frank Kessie, matia Caldara, cristante nikajua timu itapwaya na kupotea kwenye ligi. Nikashangaa babu Gasperini anazidi kufanya miujiza. Soka analocheza Atalanta ni zuri sana kwa mtu anayejua mpira akiangalia na sio wale wakuangalia matokeo live score (wazee wa kubet wanaaiita Atalanta Jeshiiii) Msimu huu nikashangaa wamempeleka Mussa Barrow kwa mkopo Bologna, kijana ambaye wamemkuza na yupo moto balaa hadi sasa hapo Bologna anagoli 8 nadhani zenye kuonesha kiwango bora na si bora goli. Nadhani best mechi tangu ligi zifunguliwe kutokana na COVID 19 ni Lazio vs Atalanta hiyo gem inautamu sana. Nyongeza Atalanta itapendeza kama watampata German NAZI masharubu Rolando Madragora ili siku za usoni acheze na Matia Caldara kama mabeki wa kati ili ukuta wao uwe imara. All in all timu ipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom