kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
I wish i could be IGP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh nimwamini yupi, kuna mmoja alisema einti 🙁ainti
KelorizCalories
KwikQuick
Merkantalizam .. Merkantail.. Mekanizamsmsaada wa kutamka haya maneno
[color=blue ] Mercantilism | Mercantile|mechanisms[/color]
NAONA ALIMAANISHA :Unaposema "alikuwa ni former......" una maana gani
Le personLemutuz
Kwa kiingereza fasaha. Did she cook? Jibu:Yes she did au No she didnt sio lazma kurudia tena neno cookJifunze nami kingereza kwa kiswahili kwa bei cheee, kwa mwezi.
Masomo ni online na ni kwa miezi miwili 2
Tunasoma kwa video, pich, audio nk kupitia WhatsApp pekee
Nipigie sasa na utokwe na aibu ya kutojua kingereza fasah ingali wew ni msomi, mfanyabiashara ama mtendaji wa serikali
Piga 0753093869
Mfano wa masomo yetu:
Somo la 1
(SECTION A; TENSES IN THE ACTIVE VOICE )
(A)Simple Tenses :
1. Simple Past Tense ( ‘li’)
- Wakati huu huongelea jambo lililofanyika na kukamilika mara moja wakati uliopita.
Mifano ; tulikuja ,walitembea, alicheza.
- Wakati huu huashiriwa na silabi ‘li’ ambayo hufanya tutambue kuwa tunaongelea jambo lililofanyika mara moja na likamalizika kufanyika katika wakati uliopita. Hii silabi ‘li’ ni lazima iunganishwe na kitendo moja kwa moja kabla ya kitendo. Mfano ; ‘Tuliimba’, tofauti na ‘Tulikuwa tunaimba’ ambapo ‘li’ imefuatiwa na kifungu ‘kuwa’ na sio kitendo. Katika maneno ‘tulikuwa tunaimba’, kitendo ‘imba’ kimetanguliwa na ‘na’ na sio ‘li’ kwa hivyo maneno hayo hayapo katika wakati huu wa Simple Past Tense, ‘li’.
Kanuni za kutumia Simple Past Tense ‘li’
a) Sentensi za taarifa/kutoa taarifa
Katika wakati huu, huwa tunapoelezea jambo tunatanguliza mtendaji wa jambo, (I/We/You/They/He/She/It) kisha tunafuatisha kitendo moja kwa moja kikiwa katika umbo la wakati uliopita.
Mfano ; - kitenda ‘enda’ ni ‘go’. Umbo lake la wakati uliopita, yaani ‘-lienda’ ni ‘went’. Tutatanguliza mtendaji wa jambo kisha tufuatishe neno ‘went’.
Sentensi za mifano;
- Juma alienda. ………. Juma went.
- Tulienda. ……… We went.
- Basi liliondoka. ……. The bus left.
- Nilicheza. ……. I played.
- Uliimba. ….. You sang.
- Walikimbia. ….. They ran.
- Maria alipika. ……. Maria cooked.
NB : Hatuweki kitu chochote katikati mwa mtendaji na kitendo.
b) Kuuliza maswali katika Simple Past Tense
- Maswali katika wakati huu huanzia na neon ‘did’. ‘Did’ ikitumika ni lazima kitendo kiwe katika umbo la kawaida kwa sababu ‘did’ ina ‘li’ ndani yake hivyo ‘li’ nyingine haihitajiki. Ina maana hiyo ‘did’ tayari imeshawakilisha wakati uliopita.
- ‘Did’ hufuatwa na nafasi inayouliziwa swali.
Mifano ya tafsiri :
- ‘Did Juma _______ ?’ …….. ‘Je, Juma ali______?’
- ‘Did they _______ ?’ ………. ‘Je, wao wali______ ?’
Sentesi za mifano :
1. Did Juma go?
Je, Juma ali enda ?
Jibu ; ( Hapana, hakuenda)…..( Kukanusha)
No, he didn’t go.
Au ; ( Ndio, alienda)…. Kukubali
Yes, he went.
2. Did she cook?
Je, alipika?
Jibu ; ( Hapana, hakupika)…..Kukanusha
No, she didn’t cook.
Au ; Ndio, alipika….. (Kukubali)
Yes, she cooked.
** katika kitabu kuna michoro ambayo inaonyesha tafsiri ya moja kwa moja ya kila kipengele cha sentensi kutoka kiswahili hadi kingereza ila hapa hatujaionyesha.
NB ; Tukiongeza neno ‘did’ katikati mwa jibu la kukubali, huwa ni kuweka msisitizo kama vile ambavyo kwa Kiswahili huwa tunaandisha sauti ili kuweka msisistizo ila sasa kwa Kingereza sauti haipandishwi ila msisitizo upo pale pale.
Mifano ; 1. Did Juma go ? …… Je, Juma alienda?
- Yes, he did go. ….. Ndio, alienda! (KWA MSISITIZO)
2. Did they cook? …….. Je, walipika?
- Yes, they did cook. …… Ndio, walipika! (KWA MSISITIZO)
NB ; Tunapokanusha sentensi kwa kutumia ‘did not’/ ‘didn’t’ , huwa hatutumii kitendo kikiwa katika umbo la wakati uliopita maana ile ‘did’ inakuwa imeshawakilisha wakati uliopita (‘li’ ambayo kinume chake ni ‘haku’) kwa hivyo hatuhitaji wakati uliopita kwa mara ya pili. Tukitumia umbo la wakati uliopita pia kwa kuuliza swali lililoanzia na ‘did’ pia tunakuwa tumeweka ‘li’ mbili katika sentensi, jambo ambalo sio sahihi.
Mifano ; 1. She didn’t went yesterday. ( Badala ya ‘She didn’t go yesterday.’)
Haku lienda jana. ( Badala ya ‘Hakuenda jana.’)
Au; 2. Did she went yesterday?
( Badala ya ‘Did she go yesterday?’)
- Je, yeye ali lienda jana?
( Badala ya ‘Je, yeye alienda jana?)
How many biological brothers and sisters are you altogether, what's your position by birth: first, second or last born etc.?Kwa kingereza tunaulizaje hivi, "Wewe ni mtoto wa ngapi kwa familia yenu?"
Hili siyo neno la kiingereza. Ni jina la mchezaji wa zamani wa ManU mwenye asili ya umasaini. Jina lake la kwanza aliitwa Ole.solskjaer
maltifasetedi.Multiphaceted
frastresheni.Frustration
eintiAin’t
metikyulasi.Maticulous
Nisaidie hili: SolemnlyMara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.
Hyo ya pili unaweka double "i" yaan siitKumbe hzo MBL zinatamkwa sawa, poa
SolemliNisaidie hili: Solemnly