Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Lazima ujue intonations hapa...la sivyo una ng'ata ulimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]phonology hataki hatari

Hahaha!

Ninakumbuka shuleni ukikuta wanafunzi wapo discussion ya phonology, unakuta wanakohoa na kutoa sauti za kila aina...Maana lazima utoe mfano.

Kwenye mtihani ni vikohozi khoo! khoo!

Kumbe mtu anatafuta majibu hahaha
 
Acha tu. Nishabumiana nayo Mara kibao hiyo. Ilikuwa inanisumbua sana mwenye intonation kuonyesha wapi pana rise na wapi pana fall of voice hatariiiiii
 
Acha tu. Nishabumiana nayo Mara kibao hiyo. Ilikuwa inanisumbua sana mwenye intonation kuonyesha wapi pana rise na wapi pana fall of voice hatariiiiii

Mimi nilifurahi maana kwenye paper la six 2010, kipengele cha phonology kulikuwepo na terms za kudefine tu na kutoa mifano hahaha la sivyo ningepata zero kwenye hicho kipengele.

Mambo ya kutafuta sure sound dah hapanaaa
 
Mara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.
Voyage sio neno la kiingereza mkuu
 
Back
Top Bottom