Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Kama ilivyo ada basi uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingereza ambayo yanakuchanganya kutamka, weka utasaidiwa humu.

pneumonoultramicroscopicsilicovolcanokoniosis, antidisestablishmentarianism, disestablishment, Supercalifragilisticexpialidocious, Expialidocious
 
Mara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.
Sio lazima,Na sio yote yana mfumo huo mkuu. Ni matter of pronunciation tu. Mfano eat and ate inatamkwa it...ki phonology tunaiandika it iwe British au Amr English,ambapo intonation ya British ndio ina rise kwenye i na Ku fall kwenye t..bahati mbaya simu angu au nadhani program ya simu haina mark za rise and fall. Cake can be pronounced kāk. So sio lazima maneno yote yenye vowel yawe na sauti hiyo...
 
Maserati [emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️[emoji1438]‍♂️

Wewe ni faiyaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Usinisifie sana [emoji85] bichwa linavimba sana huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio lazima,Na sio yote yana mfumo huo mkuu. Ni matter of pronunciation tu. Mfano eat and ate inatamkwa it...ki phonology tunaiandika it iwe British au Amr English,ambapo intonation ya British ndio ina rise kwenye i na Ku fall kwenye t..bahati mbaya simu angu au nadhani program ya simu haina mark za rise and fall. Cake can be pronounced kāk. So sio lazima maneno yote yenye vowel yawe na sauti hiyo...
Wewe ni mwalimu??
 
Wewe ni mwalimu??
[emoji85] hapana..
Tuliochukua language advance sio mageni haya,pengine wa syllabus za siku hizi ndio hawana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] vina sumbua hivi wakati wa kuthoma tho..
 
Kweli hukwenda kuuza sura
Nilikuwa muuza sura mzuri sana, tho nilisoma kayumba so advance nilipata chance ya kusoma private,ndio nikiona ni sehemu ya kuipiga msasa ile broken ya kayumba.
Wanao nifahamu niliosoma nao shule moja,wananijua vithuri thanaa[emoji12] .
 
Back
Top Bottom